Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6)KIMARA SUKA DK6- 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
SIFA
CHUMBA KIKUBWA MASTER 
SEBLE KUBWA SANA 
TILES 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
LUKU YAKO 
MAJI YANA FLOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
KODI 200,000/=×6👈
SERVICHAJ ELIFU 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087



















