Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฐFor Rent at KIMARA KOROGWE
๐ 700,000/= ร 6
๐ Barabara Ya Zege had kwenye nyumba ๐
__________
___
โข Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo ni Master Kubwa)
โข Sebule Kubwa
โข Dinning
โข Jiko
โข Public toilet
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Maji yanatoka ndani
* Parking Kubwa
* ziko 2 tu kwenye Fensi
#Umbali wa dk 15 kwa Miguu, au bajaji 500 na ukishuka Unapiga Teke Mlango
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 700,000/=
#Service Charge 15,000/=
________
0753-172-516