Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI 30/05/2025 KUONA MALIPO RUKSA
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA MASTER
✔️JIKO KUBWA
✔️CHOO CHA WAGENI NJE
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️PAVING BLOCKS
✔️NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING KUBWA
#LUKU Na METER YA MAJI VINAJITEGEMEA
✔️MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
✔️MAFENI VYUMBA KOTE
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp