Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA KOROGWE
HIZI APARTMENT NI ZA KUINGIA TAR 15/03/2024 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA IMEBAKI MOJA TU
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
HIZI APARTMENT ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJAN
UMBALI WA KM 1.5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 BODA 1000
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI CHOO NDANI PUBLIC
ZIPO APATIMENTI 4 KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI GARDEN NZURI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300