Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/06/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU KABISA GOROFANI
BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300