Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๏ธ APARTMENT FOR RENT FULL FURNITURE CLASSIC 1,200,000/= TSH PER MONTH_2bEDROOM_1MASTER SEBLE JIKO_IPO KIMARA TEMBON Dk6 Tuy KUTEMBEA TOKA MWENDOKAS
____________________________
๐๏ธAPARTMENT HII NZURI YENYE KILA KITU NDANI INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#CCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
BEI NI 1,200,000/= X 3
๐๏ธ LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM MAINE ROAD) NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
๐ฅPIA HUDUMA YA MALAZI KWA SIKU IPO AMBAYO GARAMA YAKE NI SHILINGI LAKI MOJA KWA SIKU (100,000/= TSH PER DAY)
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
___________________________________
๐CALL+255679897628/wsp๐น๐ฟ๐น๐ฟ