Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





(70,000 Γ 6) πππ ππ₯π π§ππ ππ’π‘π
MASTER BEDROOM YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 70,000/= Γ 6
πMASTER HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA CHA WASTANI
#CHOO KIZURI
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU MNASHEA WATU 2
#PARKING KUBWA NA IPO NDANI YA FENSI
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI NI GHOROFA MOJA TUU
BEI NI 70,000/= X 6
π«π«MASTER HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















