Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Piya ina dnning room kubwa
Nyumba hii hata ukiwa na mdada wa kazi inafaa
Piya ina stoo kubwa
Maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni
Umeme wako
Ndani mtakuwa WAWILI tuu
Tena huyu wa piri ni mtu wa kusafiri safiri sanaa
KODI YA PANGO
________________
KWA MWEZI NI LAKI MBILI NANUSU TUU
(250,000)
X 6