Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๏ธ 4 RENT __200,000x6__1BEDROOM MASTER__SEBLE&JIKO
KIMARA SUKA Km2__ KUTOKA MWENDOKAS
INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
__________________________
CALL__+255 679 897 628__DLL __Sd660 __tdsmtz๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ