Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA APARTMENT YA 400,000 na YA 500,000
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-----
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 /= ,BODABODA ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO.
--------
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ( LINAWEKWA MAKABATI )
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
ZIPO NDANI YA FENSI PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA
--------
HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
a ) APARTMENT ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /= KWA MWEZI
b)APARTMENT YA GHOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /= KWA MWEZI
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300