Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA
LOCATION:KIMARA KOROGWE
DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
BODA 1000
BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
10/5/2025 NI RAMSI KUINGIA
■■■■■■■■■■■■■■♤■■■■■■■■■■■■■■■■
----------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina wekwa makabati
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Maji yana flow
Electric fence
Tiles
Gypsum
Paving block
Parking space
----------
Service charge 20,000 /=
Kodi 400,000/=×6
■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact::((CALL/WHATSAPP))""0677370515