Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 3) KIMARA SUKA
Wahi mapama ndugu mteja haikai hii maana nyumba za Bei hizi na miezi michache ni adimu sana
Ina vyumba viwili vya kulala
Sebule kubwa
Jiko zuri
Choo kizuri ndani
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Ipo km 2 kutoka kituoni
Bajaji 700
Bodaboda 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300