Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA STOPOVER DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA ##250K
---------------
APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI:KIMARA STOPOVER DK 10-12 KUTOKA MOROGORO ROAD
JINSI ILIVYO =
VYUMBA 3VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
HAINA JIKO ( INA KIBARAZA )
PUBLIC TOILET
TAILS
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU SHEA WAWILI ( KUNA SUBMITER )
MAJI DAWASA YAPO NJE 24 HOURS.
MAZINGIRA MAZURI HAINA FENSI GARI INAFIKA JIRANI NA NYUMBA.
------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NOTE =
HII NYUMBA KWA MPANGAJI ANAETAKA VYUMBA 2 INAMFAA NA ICHO KIMOJA ANAWEZA KUFANYA JIKO.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453