Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI KARIBU NA KANISA LA KUAN MUSA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WA DK 20 KUTEMBEA KWA MGUU BAJAJI 700 UKISHUKA DK 3
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTAR INA SEBULE INA JIKO NA PUBLIC TOILET
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI
IPO NDANI YA FENSI
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
KUONA NYUMBA ELFU 15
#0785889413
#0785889413