Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI IJUMAA YA WK HII JION KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA ILA UKIWA NA MM TU NDO UTARUUSIWA KUONA NDAN
0655256419
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA 250K
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0655256419