Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO LAKE LA NJE INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X5X6
LOCATION:KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
SIFA ZAKE:
IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA UWANJANI PAVING BLOCK INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI TSH 150,000 X 5,6
KUNYESHWA NYUMBA NI 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258