Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6) KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖
INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
BEI LAKI MOJA NA NUSU KWA MEEZI ILIPWE MIEZI SITA
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
150,000X6
IPO TEMBONI UMBALI WA KILOMTA 2 USAFIEI UPO MDA WOTE BAJAJI MIA SABA 700 BODA BUKU 1000 MUDA WOTE
SIFA ZA NYUMBA
INA TILES, JIPSAM, DILRSHA KIOO
INAJITEGENEA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
NYUMBA NI CHUMBA MASTA SEBULE NA JIKO
NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI ILA MAZINGIRA MAZURI
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453