Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba NI chumba master na sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya uzio
Mazingira mazuri
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu
( 200,000,)
X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
#0710614924
#0688653940__