Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE NA JIKO
.
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK SAFI
.
PANAFIKIKA MDA WOTE HATA KAMA MVUA INANYESHA
.
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 500 TU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA DALALI SILAA MWEZI MMOJA
.
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030