Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 2 KTK SEHEMU MOJA, LUKU&MAJI VYA KUSHEA WA 2
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA
*KODI 180,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU, PKPK 1000/=
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
##0655256419
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________



















