Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 420,000/=X 6
๐ฅ APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
โผ๏ธ MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI YA 5G NA ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 LIPIA MAPEMA UHAMIE MAPEMA
BEI NI 420,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA ELFU 20 KWA MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HIZI KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
# 0716938128_0692198834_&
ANGALIZO:- APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 WAHI NDUGU MTEJA NYUMBA ZIMEBAKIA CHACHE