Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐: Ni apartment ya vyumba vitatu (3) vikubwa vya kulala, chumba kimojawapo ni 'MASTER BEDROOM', Sebule kubwa yenye dining space, Jiko lenye makabati na choo cha public ndani. Ipo ndani ya fensi parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA SUKA upande wa kulia kama unatoka Ubungo. Umbali ni km 2 kutoka morogoro road
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki tano tu (500,000/- Tshs) ร miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 15,000/- tu. Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)