Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAAA KALI SANA UNAZINDUA MWENYEWE HIZI HAPA
LOCATION KIMARA STOP OVER
(1) HII YA JUU INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO OPEN KITCHEN MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI NYUMBA SAFI
KODI NI 250,000X6
(2)
YA CHINI NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA PEMBENI
KODI 200,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5 USAFILI BODABODA 1000 MPAKA NYUMBANI
MAVUMBA NI MAKUBWA SANA
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258