Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KISASA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMB
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300