Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MAPEMA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA
SEBULE KUBWA
CHUMBA MASTER
JIKO KUBWA
CHOO CHA WAGENI NJE
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA
LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
BEI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.