Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
💥Inapangishwa, #120,000/= *6
📍KIMARA KOROGWE
________
__
• Chumba Master Kizuri
* Inajitegemea UMEME
* MAJI yanatoka Ndani mnashare wawili
* Hamna Fensi, Usalama wakutosha, na gari inafika had kwenye nyumba
#ipo Umbali wa Km 1.9 bajaji 500, barabara ya zege, ukishuka kwnye bajaji unatembea dk 9 tu
📌 Note:
• Anatakiwa mpangaji Mkiristo
• Miezi Sita hamna punguzo
_______
#Malipo ya dalali Nasoni ni 120,000/=
#Servicae Charge 15,000/=
№: 0753-172-516
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba #dalali #simba #yangasc #udsm #mangekimambi #udaku #millardayoupdates #nbcpremierleague #realestate #kariakoo #udsmupdates