Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI NYUMBA ZITAKUA TIARI KUINGIA KUANZIA TAR 15/03/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA KWANZA NA SAWA
NA ZITAKUA KALI SANA
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI OPEN KICHEN
LINAWEKWA MAKABATI
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
HITA YA MAJI MOTO NA BARIDI
FULL A/C
WIFI BURE
NDAN YA FENS
PARKING IPO KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA YATAKUA MAZURI MNOOOOO
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJAN
UMBALI WA KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0713320608
0686334182