Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 ร 6) KIMARA BUCHA
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA SIO VIKUBWA VYA WASTANI TU
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000 ร 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 BODABODA 1000
NOTE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300