Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
-------
Chumba kikubwa sana 
Seble kubwa sana 
Jiko kubwa la kisasa lina makabati 
Public toilet 
Maji yana flow
Luku yako/mita ya maji yako 
Tiles 
Gypsum 
Electronic fence 
Ndani ya fence 
Paving block 
Parking space kubwa sana 
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 270,000/=4 
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja 
-----------0677370515
Contact  ndungu mteja inakuwa wazi  30 08 2025 kuona na kulipa rukusa




















