Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA WALE WAPENDA KARIBU NA MWENDOKASI HII YAPA APARTMENT WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENSI HII YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 30/09/2025 KUONA MALIPO RUKSA#BEI 400K
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 2 KUTEMBEA IPO BARABARANI KABISA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_______________
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO OPERN KITCHEN
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI NDIO IMALIZIWA MAFUNDI WAPO KAZINI UKIJA UTAWAONA HAKUNA HADITHI HAPA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#SIMTANK ZA KUTOSHA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347