Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO APARTMENT TATU KWENYE COMPOUND MOJA INAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01/05/2024 KUONA MALIPO RUKSA SOMA MAELEZO KWA MAKINI ๐
(A
#VYUMBA 2 VYA KULALA
)#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI
#PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU YAKO MAJI YA KWAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
(B)#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPERN KITCHEN KUNA WEKWA MAKABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU YAKO MAJI YAKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 6-7 KWA MIGUU NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300