Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 4) kali sana hii ☺️ KIMARA SUKA
——
NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO KIMARA SUKA
KODI NI 250,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6 .MPAKA 4
SIFA ZAKE
###########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENSI PARKING IPO
KAMA UNAVYOONA INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI
UMBALI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 - 1000
BODABODA 1500 - 2000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300