Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#KODI 140K MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOLOGWE π KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DAKIKA 5 KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA π
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO KUBWA
TYRIES
GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME SABMITA
MAJI YANA FROO NDANI
KODI 140K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBAπ€
NB:NYUMBA INAITAJI MPANGAJI AWE MWANA MKE