Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 MASTER BEDROOM INAPANGISHWA – KIMARA MWISHO
📍 Eneo: Kimara Mwisho
🕗 Dakika 10–15 kwa miguu kutoka kituo cha Mwendo Kasi
Pia unaweza kupita Kimara Korogwe (usafiri wa boda boda Tsh 1,000/= tu)
🏡 SIFA ZA NYUMBA
🔸Master Bedroom kubwa na yenye nafasi ya kutosha
🔸Jiko kubwa, safi na la kisasa
🔸Umeme wa LUKU (Sub-meter)
🔸 Maji ya uhakika masaa 24/7
🔸Parking kubwa ya magari
🔸Usalama wa uhakika masaa 24/7
🔸Mazingira tulivu (No Uswahili) hapa.
GHARAMA
🔹 Kodi: Tsh 180,000/= × miezi 5 au (miezi 6)
🔹 Dalali: Tsh 180,000/=
🔹 Service Charge: Tsh 15,000/=
📞 Wasiliana nasi (Piga simu / WhatsApp):
👉 0740 747 383
🙏 Tafadhali Follow ukurasa wetu
🤝 Karibu sana mteja – Huduma bora ni kipaumbele chetu 😊



















