Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(100,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YAPO NJE
*ZIKO 3 KTK SEEMU MOJA, HAKUNA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU YA KUSHEA WA 3
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5 BAJAJI, DALADALA, TAX700
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=====================
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
====================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________