Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🚨🔥APARTMENT NZURI MPYA KUBWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
⏰Dk 5 -6 kutoka standi ya mwendo kasi
✍️ Hii inafaulishwa
✍️SIFAZAKE
🔷Chumba kimoja master
🔷Sebule
🔷Public toilet nje
🔷Umeme inajitegemea
🔷Maji yanafrow ndani
🔷Nyumba ipo ndani ya fance
🔶Kodi Tsh 250, 000/= × miezi 6
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.