Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara korongwe msikiti Wa udongo km 2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 300000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko
Umeme luku
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128