Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000 × 6) KIMARA BARUTI KLM 1
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#KIBALAZA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
UKICHELEWA SHAURI YAKO NYUMBA NI NZURI
LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI (500) UKISHUKA TU DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KODI 150,000 × 6
SIFA ZAKE
========
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME LUKU 2 SUBMITER
NB:
NDUGU MTEJA,,!
NYUMBA HII INARUDIWA RANGI UPYA PINDI TU ULIPIAPO
ILIPWE LAKI MOJA NA HAMSINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
##0655256419
##0760830706