Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 4,5,6) KIMARA MWISHO mwenye kuwahi awahi mapema
=======================
*CHUMBA, SEBULE, CHOO NDANI
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
*ZIKO 5 KTK COMPOUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM 2
BAJAJI, NOAH700
*KODI 150,000/= KWA MWEZI × 5,6
______________________________
=======================
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
______________________________
Contact:
#0785889413