Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA MPYA UKIHAMIA WEWE UNAKUWA MPANGAJI WAPILI KUISHI INAKUWA WAZI TAREHE 25/05/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZULI LENYE KABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY, GIPSAM, ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
---