Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ APARTMENTS NZURII SANA ZIKO NNE NDANI YA FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW
SIFA ZAKE:
#INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULEE
#JIKO
#CHOO NDANI CHA PUBLIC
#PARKING SPACE KUBWA
#PAVING BLOCK
๐ฃLOCATION:KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 2...USAFI BAJAJI 700..BODABODA 1000
๐ฐBEI:LAKI 3 X Miezi 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
UKILIPA NYUMBA MWEZI MMOJA NI WA DALALI
PIGA CM 0764575774