Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 ร 6) KIMARA BARUTI BARABARA YA UDSM
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6 NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/04/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 - 15 TUU KWA MIGUU AU BODABODA 1000
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
KUONA NA KULIPIA RUKSA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300