Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI
MOJA INAKUA WAZI JION HII
LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI WA DK 5 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
UMBALI NIMESEMA NI DK 5 KUTOKA KITUO CHA DALADALA APA STOP OVER
SERVICHAJ ELFU 15
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0655256419