Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(150,000X6)KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA INAKUWA WAZI JIONI YA LEO
MASTER BED ROOM KUBWA
(CHUMBA CHENYE CHOO NDANI)
LUKU 2 KUNA SUBMITER
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA HAKUNA PARKING
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 150,000KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US::-
0716223412
0683597453