Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Mwisho
๐Dakika 13 Kutembea Toka Mwendokasi, Barabara Nzuri Mpaka Hapo
๐ #SIFAZAKE
๐นVyumba vitatu, kimoja master
๐นSebule Kubwa Sana
๐นDining
๐นJiko Linafungwa Makabati Mazuri
๐นStore
๐นPublic Toilet
๐นUmeme Luku Yake, Maji #dawasco yanaflow ndani
๐นFenced Car Parking
๐นReserve Water Tank Kubwa
๐Zipo 2 tu hapa kwenye Fence,
๐ถKodi Tsh 600,000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Jose Tsh 600,000/=
๐ถService charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
,
#0688573777