Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ##250K
---------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
JINSI ILIVYO =
VYUMBA 3VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
HAINA JIKO ( INA KIBARAZA )
PUBLIC TOILET
TAILS
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU SHEA WAWILI ( KUNA SUBMITER )
MAJI DAWASA YAPO NJE 24 HOURS.
MAZINGIRA MAZURI HAINA FENSI GARI INAFIKA JIRANI NA NYUMBA.
------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NOTE =
HII NYUMBA KWA MPANGAJI ANAETAKA VYUMBA 2 INAMFAA NA ICHO KIMOJA ANAWEZA KUFANYA JIKO.
0655256419