Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿Inapangishwa, KIMARA KOROGWE KWA MKUA
📍 Kodi 200,000/= *3
📍 Kodi hata moezi 3
____________
___
#Nyumba Nzuri sana Ila Iko Mbali sana
• Sebule
• Chumba Master
• Na Chumba kingine Cha ziada kidogo
×Hamna jiko
* Inajitegemea UMEME
* Ndani ya Fensi
* Maji ndani
#Umbali wa KM 2, usafiri Bajaji 500 ukishuka unatembea Tena dakika 15 📌 au bodaboda 1,000
________
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo Ya Dalali Nasoni Ni 200,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
№:- 0753172516