Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA NA KWA NYUMA KUNA SERVANT CORTER AMBAYO TAYARI INAMPANGAJI
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0655256419