Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 250,000X6 INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
Ipo umbal km 2 safir Bajaji tax haic ,na ukishuka dk 1 umeingia
Muundo
#chumba master kubwa
#sebule kubwa
#Jiko lakisa linamakabat, chin na juu,
#Public toilet njee,
#umeme inajitegemea maji dawasa yantoka ndani
#Nyumba ipo ndani fens ya waya usalama niwakutosha, parking ipo,
#Nyumba itakua wazi tarh
1 / 3 ama kabla kuona ruksa Endapo Mpangaji ata kwepo
#Service charge 15 elf
NO, CHEN NAMALIZA,
Contact
0712656027