Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA KIMARA MWISHO USAFIRI UPO BAJAJ
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA ZA NYUMBA
chumba sebule master bedroom na jiko
Nyumba mpya kabisa
Umeme kiramtu ana sabu mita yake
Maji yapo chooni yanatoka vizuri NA jikoni
Fensi mafundi wapo wanaendelea
Kioo nyumba yotee anaweka
____________________________________
KODI YA PANGO
KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI
kodi kwa mwezi NI
Laki moja nasabini tuu
(170,000)
X 4 hadi 6
_________________________
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL
CALL
CALL
0655256419